Picha 10 za jumba la Kifahari la Rais Mugabe zitakazokuacha na hoi kichwani mwako
Rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe ambaye amekuwa rais wa nchi hiyo
tangu walipopata uhuru Aprili mwaka 1980, ana miliki jumba la kifahari
linalojulikana kama ‘Blue House’ ambalo ni moja kati ya vivutio jijini
Harare.

Kumbuka hili ni jumba lake binafsi na sio Ikulu ya Zimbabwe.
‘Blue House’ yenye vyumba vya kulala 25 ilijengwa na wahandisi wa kampuni ya ujenzi ya Serbia inayojulikana kama Energoproject na imetumia mchoro kutoka nchini China.
Mbali na hilo, unapaswa kufahamu kuwa jumba hilo limechukua eneo la hekari 44 na linalindwa kwa radar ya kisasa yenye thamani kubwa. Ndani lina ‘mabwawa mawili makubwa ya kuogelea’ ambayo wanayaoita ‘Maziwa’.
Endelea kuangalia picha: