Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege afariki Dunia

 1453105264711.jpg
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Mhandisi Suleiman Said amefariki dunia mapema leo asubuhi akiwa katika mazoezi ya kuogelea.
Taarifa zinaeleza kuwa baada ya tukio hilo Bwa.Suleiman alikimbizwa hospitali ya Agakhan kwa matibabu na baadae ikaelezwa kuwa amekwishafariki na kuwa mazishi yanatarajiwa kufanyika leo.
Marehemu alipata kuwa Katibu mkuu wa Simba alikopewa jina la Yelstin.

Taarifa zaidi tutazidi kufahamishana kadiri ya zikavyokuwa zikiingia.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.