Kundi la Muziki la Navy Kenzo Lashika Namba 4 Katika Video 50 Zilizobamba Zaidi MTV Base Mwaka 2015, Wampita Diamond Platnumz
Kundi
la Mziki la Navy Kenzo Linaloundwa na Aika na Nahreel wametutoa
kimasomaso Watanzania Baada ya Video yao ya Wimbo wa Game
Walioshirikiana na Vanessa Mdee Kushika Namba Nne katika Chat ya Video
50 Bora za MTV Base Africa Zilizofanya Vizuri mwaka 2015..
Diamond
Platnumz na Wimbo wake wa Nana umeshika namba 5 Katika Chat hizo, Wimbo
huo wa Nana Pia Umetengenezwa na Producer Nahreel Kitu kinachomfanya
Aendelee kuwa Producer Bora zaidi Kuwahi kutokea Tanzania na East Africa
kwa Ujumla,
Mwimbaji Wizkid wa Naigeria Ameshika Namba 6.
Pongezi
ziende kwao @nahreel,@aikanavykenzo wanaounda Kundi la Navykenzo.Pia
Pongeze Kwa Diamond Platnumz kwa Kuwa Namba 5 Katika Chat Hiyo...
