“Msinishangae
siku moja nitakapojiunga na chama chochote cha siasa. Nimestaafu
kulitumikia jeshi na huu ni mwanzo wa mambo mengine” alisema aliyekuwa
kamanda wa polisi wa Kanda Maalumu ya DSM, Suleiman Kova.
Ukisoma upepo, unadhani atajiunga na Chama gani?
SOURCE: EATV