Afande Sele:"Sijaacha Muziki ila Muziki Ndio Umeniacha

"Sijaacha muziki ila muziki ndio umeniacha. Muziki nitafanya kama hobby tu pale nikipata maono ambayo itabidi nifikishe ujumbe kwa watu" amesema Afande Sele.

Una nini cha kumshauri nguli huyu wa muziki wa Bongo Fleva?
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.