Kali za Dunia tar 16-Jan-2016, #Huyu ndiye Mwanamke Mwenye mwonekano mbaya kuliko wote Duniani. Cheki picha tangu utoto wake hadi leo.

Kama kawaida piga like hapa ili usikose kilasiku kali za Dunia:


Msomaji wangu, We ni mtu MAKINI saaaana,  sitaki kabisa upitwe na hili nililo kutana nalo hivi karibuni lililonifanya nimjue mwanamke mwenye mwonekano mbaya kuliko wote duniani, Mwanamke huyu anaitwa Lizzie Velasquez , Umri miaka 23.
Anaishi nchini Marekani, Huyu binti alipozaliwa hakupata tishu za mwilini zinazoitwa adipose,yaani ukikosa tissue hizi basi mwili wako utakosa kuwa na nyama na misuli Hiyo ndiyo iliyopelekea mwanamke huyu kuwa na mwonekano mbaya kuliko wote duniani.

Hata hivyo binti huyu ametuelezea kuwa amepitia mambo mengi sana duniani haswa matatizo ya kisaikolojia kutokana na Ukatili ama upumbavu wa watu wa dunia hii ambao hawana busara,wasio shindwa kumponda live akiwa mtandaoni, au kumtukana vibaya kwaajili ya mwonekano wake huo.

Lakini binti huyu amesema yeye ni mtu asiye waza ujinga na wala haumii tena watu wanapofanya hivyo kwasababu amezoea tangu utoto wake. Life linasonga na anakula bata kama kawaida.

Neno Lake kwa Dunia nzima: 'I'm human... of course these things are going to hurt... (but) I'm not going to let those things define me.'
At the end of the day, these are just words,' Miss Velasquez told Africanmishe.blogspot.com representative in America.

 'If they are so proud, then they should show their face.'
 Yaani anaesema: Yeye ni mwanadamu watu wanavyofanya anaumia lakini hatoruhusu hayo yanayofanywa na watu yawe yake , Na mwisho wa siku hayo ni maneno tu, Binti huyo akimwelezea mwakilishi wa africanmishe.blogspot.com huko America  na kuongeza kuwa kama wao ni wazuri sana basi ni nafasi yao kuonyesha sura zao .
Usikose kali ya kesho pia usiache kulike page yetu hapa ili upate kali kama hizi kwa urahisi:

Kama wewe umewahi kumwona mtu mbaya, leo ujue kuna mbaya zaidi: Cheki picha zake tangu utoto hapa chini:







Theme images by hanoded. Powered by Blogger.