#Kali za Dunia Leo tar 16-1-2015 - Mkono waungwa kwenye mguu
Mtu aliyepata ajali na mkono kushindwa kuunganishwa ilibidi mkono huo
uuungwe kwenye mguu kwa muda wa wiki mbili ili usiharibike huku
kisubiria mkono uliokatika upate nafuu ili kipande chake kiungwe tena.
Picha chini hapa. Usikose kesho kupata kali za dunia. Top world news.