Askofu KKKT Aonya Utumbuaji Majipu

Askofu mkuu wa kanisa la KKKT Dk. Shoo amemtahdharisha rais magufuli kuwa kazi ya utumbuaji majipu aliyoanza nayo inapaswa kufanywa kwa kufuata misingi ya haki na busara ili kuepusha watu wasiokuwa waaminifu kutumia mwanya huo kuwaonea wenzao wasiokuwa na hatia.




Akizungumza mbele ya  mamia ya waumi wa kanisa hilo mjini moshi mkoani kilimanjaro jana, wakati wa Ibada maalum ya kuingizwa kazini kuwa mkuu wa kanisa hilo, Askofu Shoo ALISEMA KAZI YA UTUMBUAJI WA majipu Unahitaji hekima  na busara ya ki-mungu 
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.