ASKARI DODOMA WASOMBWA NA MAJI NA KUFARIKI DUNIA
#Habari:Watu
wanane wakiwamo askari wa jeshi la Polisi wamefariki Watoto wawili,na
wapita njia wawili wamefariki dunia baada ya kusombwa na maji katika
eneo la Kibaigwa Bwawani mkoani Dodoma.
Naibu Kamishna mwandamizi wa jeshi la Polisi Devid Misime amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo.
Naibu Kamishna mwandamizi wa jeshi la Polisi Devid Misime amethibitisha kutokea kwa vifo hivyo.