WANANCHI SONGEA WAKILALAMIKA BAADA YA KUPEWA MBOLEA ZISIZOFAA(VIDEO)


Baadhi ya wakulima mkoani Ruvuma wamewalalamikia baadhi ya mawakala wanaosambaza pembejeo kwa kuwasambazia pembejeo za ruzuku tofauti na mahitaji ya udongo wa maeneo yao na hivyo kamati za vocha za vijiji zimeshindwa kuzigawa pembejeo hizo.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.