VIDEO TAZAMA MVUA ILIVYOLETA MAAFA RUGWE


Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali imeleta maafa makubwa katika kata ya Ikuti wilayani Rungwe, baada ya kuezua nyumba 23 na kuangusha migomba yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 250.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.