Majambazi wamempiga Risasi Mfanyakazi wa ZANTEL ambaye ni Head of customer care services alikuwa anatoka bank kuchukua pesa ndipo akavamiwa na majambazi hao maeneo ya mikocheni njia panda ya coka.Taarifa zaidi zitakujia