t Jay Moe karudi mchezoni na mzigo mwingine mtu wangu > – ‘Hili Game’ Feat. Deddy (Audio)

Kama unakumbuka miaka ya nyuma, mkali wa game toka maeneo ya Temeke Dar es Salaam, Juma Nature aliwahi kudondosha hit kali kabisa ambayo ilifanya poa sana miaka hiyo, ngoma hiyo iliitwa ‘Hili Game‘.







Juma Mohamed Mchopanga a.k.a Jay Moe karudi na mzigo ambao ameupa jina linalofanana na hilo mtu wangu, ‘Hili Game‘- Jay Moe Feat. Deddy.
P FUNK
Producer aliyeisuka ‘Hili Game’, P-Funk Majani ndani ya mjengo wa Bongo Records.
Kama unatamani kusikia rapper Jay Moe karudije, unaweza kuusikiliza mdundo wenyewe hapa ambao umetoka kwenye mikono ya producer P-Funk Majani.


Theme images by hanoded. Powered by Blogger.