Steve RNB karudi na ngoma mpya, kama ilikupita isikilize hapa… ‘Listen’

Ni staa wa bongofleva ambae hits zilizompa headlines ni pamoja na ‘Tabasamu‘ aliyoshirikishwa na Mr. Blue, msanii huyo time hii ametusogezea hii single yake mpya iitwayo ‘Listen’.
Unaweza ukabonyeza play kuisikiliza hiyo single mpya

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.