Pichaz 10 kilivyohappen pande za Geita katika Show ya Yamoto Band, usiku wa Chrismass Dec 25 2015 …
Sikukuu ya Chrismass ni moja kati ya
sikukuu zenye mvuto duniani kote, imekuwa kawaida kwa vijana na watu wa
rika tofauti tofauti kusherehekea kwa namna yao ya kipekee. Yamoto Band wakali wa hit single kadhaa ikiwemo kama Cheza kwa Madoido wameachia single yao mpya Mama, ambayo inafanya vizuri kama nyimbo zao nyingine, waliamua kuanzia Geita ziara yao ya Mama Tour kwa kuparty na watu wa Geita. Yamoto Band
usiku wa Chrismass walipiga Show ambayo ilikuwa na Shangwe za kutosha
kutoka kwa mashabiki wao baada ya wao kupimba na live band. Mtu wangu wa
nguvu naomba nikusogezee Pichaz 10 za Show ya Yamoto Band Geita.