NIYONZIMA OUT YANGA PIA KULIPA FAINI YA DOLA 71,175
Afisa Habari wa klabu ya Yanga Jerry Muro wakati akizungumza na waandishi wa habari leo makao makuu ya klabu ya Yanga juu ya kuvunjwa mkataba kati ya klabu ya Yanga na Haruna Niyonzima
*********
Klaubu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima kutokana na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchelewa kuripoti kambini na kutoipa kipaumbele klabu yake.