KIPINDUPINDU CHASHIKA KASI NYAMAGANA, MAGU


---> Vifo vyafikia 25, idadi ya waliougua yafikia 926.
Ugonjwa wa kipindupindu umeendelea kuzitesa Wilaya za Nyamagana na Magu mkoani hapa, baada ya idadi ya wagonjwa kuongezeka na kufikia 17, huku mtu mmoja akipoteza maisha wilayani Magu.
Akizungumza na gazeti hili jana, Kaimu Mganga Mkuu wa mkoa, Dk Rwekyendela Onesmo alisema licha ya jitihada zinazofanywa, ugonjwa huo unazidi kuzikumba baadhi ya wilaya za mkoa huo 
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.