BREAKING NEWS:: GARI LA ZIMA MOTO MKOANI LINDI LAPATA AJALI ENO LA MTANDA-LINDI

Gari
la Zimamoto mali ya Halmashauri ya Manispaa ya Mji wa Lindi imepata
ajali katika eneo la Mtanda Lindi Mjini mapema leo Mchana, Habari
zilizotufikia Lindiyetu.com ni kwamba gari hilo lilikuwa na Maji ambayo
yalikuwa yanapelekwa kwa mkubwa wa serikali (Chanzo hakikutaja jina ni
nani). Na hadi sasa chanzo cha Ajali hiyo hakijajulikana. Endelea kuwa
nasi tutakujuaza.