Video: Majibu ya Wema Sepetu kuhusu boyfriend wake wa sasa, ile BMW, mapenzi ya kuachana, CK na mengineo
Angalia hapa Interview muigizaji Wema Sepetu akihojiwa na Zamaradi Mketema kwenye TAKE ONE ya Clouds TV ambapo anazungumzia kidogo ile BMW na uhusiano wake na Diamond Platnumz, boyfriend CK, kujutia kuwa na Diamond, kwake mapenzi ni pesa au kupetipeti?