MJANE WA IDD AMIN AFARIKI DUNIA

Sarah Kyolaba alikuwa mke wa mwisho wa kiongozi wa Uganda kunusurika kabla ya kufariki wiki iliyopita katika Hospitali ya London Royal Free
Sarah Kyolaba alikuwa mke wa mwisho wa kiongozi wa Uganda kunusurika kabla ya kufariki wiki iliyopita katika Hospitali ya London Royal Free
Mjane wa Idi Amin ambaye aliishi bila kujulikana London Kaskazini akifanya kazi saluni kwa miaka 30 baada ya kukimbia uhamishoni na dikteta, amefariki kufuatia kuugua saratani.
Ndoa yao ilikuwa ya kifahari, iligharimu pauni milioni 2
Ndoa yao ilikuwa ya kifahari, iligharimu pauni milioni 2
Sarah Kyolaba alikuwa mke wa mwisho wa kiongozi wa Uganda kunusurika kabla ya kufariki wiki iliyopita katika Hospitali ya London Royal Free, imeripotiwa.
Mke wa amini aliwahi kujulikana kama “Suicide Sarah” kwa sababu alipenda kucheza muziki kwenye jeshi la Revolutionary Suicide Merchanised Regiment Band.
Mke wa amini aliwahi kujulikana kama “Suicide Sarah” kwa sababu alipenda kucheza muziki kwenye bendi ya jeshi ya Revolutionary Suicide Merchanised Regiment Band.
Sarah, 59, aliwasili Uingereza zaidi ya miongo mitatu iliyopita – akimfuata mumewe uhamishoni nchini Saudi Arabia – na baadaye kufanya kazi saluni mjini Tottenham.
Sarah alioana na dikteta baada ya kuonana naye akicheza jukwanani akiwa na miaka 19.
Sarah alioana na dikteta baada ya kuonana naye akicheza jukwaani akiwa na miaka 19.
Mke wa amini aliwahi kujulikana kama “Suicide Sarah” kwa sababu alipenda kucheza muziki kwenye bendi ya jeshi ya Revolutionary Suicide Merchanised Regiment Band.
Ndoa yao Agosti 1975, Sarah aliwahi kusema kwenye mahojiano yake kuwa Idi Amin alikuwa Shujaa wa Afrika na sio Katili
Ndoa yao Agosti 1975, Sarah aliwahi kusema kwenye mahojiano yake kuwa Idi Amin alikuwa Shujaa wa Afrika na sio Katili
Alioana na dikteta baada ya kuonana naye akicheza jukwaani akiwa na miaka 19. Wawili hao waliona kwa harusi ya kifahari ya pauni milioni 2 katika mji mkuu wa Kampala. Inasemekana alikuwa “mke nkipenzi” na aliitwa Lady Sarah Kyolaba Idi Amin.
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.