Msanii wa Bongo Fleva Ben Pol amesimulia alivyonusurika kifo baada
ya boti waliokuwa wakisafiria wakitokea visiwani Mbudya jijini Dar
kuzima ghafla katika ya bahari na kukaa kwa muda wa saa nzima bila
kupata msaada kupitia akaunt yake ya Instagram, Ben aliandika
ilivyokuwa.

Hawa ndiyo walio nulika katika ajali hiyo ila kuna mmjo alipotea majini