MGOMBE URAIS APIGWA TANGA


Anaitwa Kalokola ni mmoja wa waliochukua fomu ya kugombea urais kutoka hapa tanga na jana alienda kwenye mkutano wa Mh Edward Lowasa ndio wakamtenda hivyo,wangemuondoa kistaarabu tu kuliko walivyomdhalilisha


Theme images by hanoded. Powered by Blogger.