Shindano la mchoro wa siku ya Dudumizi (Dudumizi Day)

Katika kuhakikisha tunapata muda wa kuwa
pamoja na wana Dudumizi , timu nzima ya
Dudumizi Technologies LTD inatarajia
kuandaa siku ya Dudumizi , yaani Dudumizi
Day. Siku hii itakuwa ni wakati pekee wa
wana Dudumizi kujuana na jamii, pia
wanajamii kujua kazi mbalimbali
zinazofanywa na Dudumizi .
Katika kuelekea siku hii, tunatarajia
kuandaa vifaa vitakavyotumika siku hiyo,
hivyo, kwakuwa Dudumizi inahudumia
wana jamii, na kwakuwa wana jamii ndiyo
wanaoijua vyema Dudumizi . Tunapenda
kupata mawazo yao, ni jinsi gani Dudumizi
day itaonekana.
Kwenye kulitambua hilo, tumeandaa
mashindano ya kudesign mchoro (artwork)
itakayotumika kwenye siku ya Dudumizi ,
mshindi atachaguliwa na wanajamii
wenyewe na kujinyakulia 50,000Tsh
pamoja na Wireless Router Mercury MW
302R Mpya and Genuine kabisa.
Jinsi ya Kushiriki:
1. Penda ( like) kurasa yetu ya Facebook
2. Tuma mchoro wako na maelekezo
kwenye kurasa ya Facebook ya Dudumizi ,
Timu ya Dudumizi itachagua michoro 3
yenye Interaction kubwa (Comments, Likes
& Share)
3. Michoro hii mitatu itapigiwa kura na
Fans w Dudumizi, na atakayepata
interaction kubwa, ndiye mshindi
4. Mshindi atapatikana na kukabidhiwa
zawadi yake.
MUDA: Muda wa mwisho wa kutuma
michoro (arworks) ni Ijumaa, April 10,2015
KUMBUKA: Zoezi hili ni kwa ajili ya fans wa
Dudumizi tu kwenye hatua zote.
Dudumizi Technologies LTD
Web: www.dudumizi.com
A ddress: 3rd floor, Shamo Park House,
Goig, Mbezi Beach

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.