Azam yaipora Simba bonge la mchezaji
Straika Mohammed Traore wa El Merreikh ya Sudan.
WAKATI fedha ndmwingine iyo kila kitu kwani Azam FC imeipiga bao Simb ka kwaumsajili straika Mohammed Traore wa El Merreikh ya Sudan aliyekuwa anatakiwa na Simba kwa njia yoyote ile.Simba sasa inataka kusajili straika mwenye uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu na Traore raia wa Mali ndiye aliyeonekana anafaa lakini Azam imewawahi kwa kumsajili ili kujiweka vizuri.

Straika huyo mwenye miaka 26, aliwahi kuzichezea
klabu kubwa kama Ismaily ya Misri na baadaye Al-Hilal ya Sudan kabla ya kutua El Mereikh msimu wa 2013/2014.Simba ilifanya mazungumzo na Traore, kwa mara ya kwanza alipokuja nchini kucheza dhidi ya Azam katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex. Mkataba wa Traore na El Merreikh unaisha mwezi ujao.

Mmoja
wa mabosi wa Simba katika kamati ya usajili alisema; “Tulikuwa
tumeshamaliza kila kitu na Traore na tulitegemea tungekuwa naye msimu
ujao ili kuimarisha kikosi chetu.”
Rafiki
wa karibu wa Traore kutoka Sudan, amelithibitishia Traore kusaini Azam
kwa kusema; “Traore amesaini Azam na hana mpango wa kubaki El
Merreikh.”Alipotafutwa Katibu Mkuu wa Azam, Idrisa Nassoro, simu yake
ya mkononi iliita bila ya kupokelewa.
Hata
alipotafutwa Ofisa Habari wa timu, Jaffer Idd hiyo kuzungumzia hilo
alisema; “Hakuna taarifa kama hizo za kumsjili Traore, sasa tumeweka
nguvu katika ligi.”