TAZAMA VIDEO YA MCHEZA MIELEKA MAARUFU DUNIANI ALIVYOPOTEZA MAISHA
Taarifa ya kilichomkuta mcheza mieleka wa Mexico ikufikie mtu wangu…(Video)
Mwanamieleka huyo alikuwa akipigana na mwezake Rey Mysterio
katika pambano lililofanyika ijumaa usiku na mara baada ya kudondoka
alikimbizwa hospitali lakini madaktari walithibitisha kuwa tayari
amefariki.
Wakati akiwa
amedondoka chini wenzake hawakujua kiasi gani ameumia na kuendelea na
mchezo na baada ya dakika zipatazo mbili waligundua kuwa amezidiwa hivyo
kumuwahisha hospitali.
Hapa kuna video ikionyesha wakati pambano hilo linafanyika hadi mwana mieleka huyo alipopoteza fahamu akiwa ulingoni.