Matukio katika mkutano wa Chadema Iringa Mjini jana....!


Mbunge wa Iringa Mjini Mh.Peter Msigwa akizungumza na wananchi wa manispaa ya Iringa jana jioni katika viwanja vya Mwembetogwa
Hapa Mbunge wa Mbeya Mjini Mh.Joseph Mbilinyi au Sugu akizungumza na wakazi wa Iringa waliofika katika mkutano huo. (P.T)
Hawa ni wananchi wa Manispaa ya Iringa Mjini waliofika kwenye mkutano huo wa Chadema uliofanyika jana katika uwanja wa Mwembetogwa

Tuma Maoni

Theme images by hanoded. Powered by Blogger.