MAJINA MAPYA YA WANACHAMA WA ACT-TANZANIA WAKITOKEA CHADEMA
Siku moja baada ya aliyekuwa
mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya CHADEMA kujiunga rasmi na chama
cha ACT, kuna wimbi kubwa la wafuasi na wanachama wa CHADEMA kukihama
chama hicho na kumfuata Zitto. Hawa ni baadhi ya viongozi mbalimbali
waliokuwa wanachama wa CHADEMA ambao wameamia ACT- TANZANIA
