IRENE UWOYA AFUNGUKA NA KUWASHAURI WANAWAKE WENZAKE WASITOE MIMBA

Mtoto nizawad kutoka kwa MUNGU ...siku ya leo nawashauri wanawake wote wanaokataliwa mimba Zao na wapenz wao wasitoe wala kufanya chochote muoneshe kama wewe ni mwanamke jasiri na unaweza .....mtoto ndokila kitu.....plzzzzz usitoe mimbaaaaa!!!
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.