PICHA>>AJALI MBAYA ILIYO TOKEA LEO
Mashuhuda wakiwa katika eneo la tukio.
Ajali
ya gari imetokea jana jioni katika eneo la Mwalusembe Wilaya ya
Mkuranga, Pwani kati ya gari lenye namba za usajili SU
39761linalomilikiwa na Chuo Kikuu Huria Tawi la Lindi na Fuso lenye
namba za usajili T 735 CKY, dereva wa Fuso alikimbia mara baada ya ajali
na waliokuwemo kwenye gari dogo wamepata majeraha na kukimbizwa
Hospitali ya Mkuranga kwa matibabu.