MTUKANAJI MAARUFU KWENYE ISTAGRAM AKAMATWA!

Mwanadada anyejulikana kwa jina la Maltilda au Maltikibokoyao amaye kwa kipindi kirefu sasa amekuwa akimkingia kifua mrembo Wema Sepetu kwa kuwatukana mastaa wenye mgogoro na Wema,alitiwa mbaroni na Jeshi la Polisi nchini kupitia kitengochake cha CyberCrime na kushikiliwa kwa siku nzima kabla ya kuachiwa kwa dhamana
Kwa
mujibu wa taarifa kutoka kituo kikuu cha polisi binti huyo alitiwa
mbaloni baada ya kumtukana mtu mmoja aliyekuwa ana ugomvi na wema ambaye
aliamua kwenda polisi na kutoa ushahidi kamili amabo ulifanikisha
kumnasa baada ya polisi kumuwekea mtego mdogo.
"amekuwa
akitukana sana mastaa karibu wote wa Tanzania bila kujali nani ni
nani,hadi tunamtia mbaroni alikuwa amewatukana wengi sana,na kwenye
simu tulizo mkamata nazo tulikuwa na ushahidi na matusi yake.....Mwazoni
alikuwa akijaribu kuficha ukweli aliokuwa nao,lakini baada aya kimweka
'lokapu' kwa siku moja akaeleza msimamo wake"kilisema chanzo
Kesho
yake binti huyo aliamua kusema ukweli kuhusu kazi yake ya kutukana
watu mitandaoni.na kuwataja mastaa kadhaa wa kitanzania ambao wamekuwa
na kawaida ya kuwanunulia simu za kisasa na kuwawekea muda wa maongezi
ili wawatukane wenye ugomvi nao,na wote walioshirikiana na maadui zao.
"Aalisema
mengi sana na kuwaomba radhi kwa wote alio wai watukana na kuaidi
kutorudia tena,ki ukweli huyu binti ameingia mtego wa kuwatukana watu
mitandaoni kwa kuamini kuwa hatojulikana.....Hao wanaojiita
mastaawanawatumia hawa mabinzti kwa ujira mdogo na kujiingiza katika
kesi kama hizi kwa ajili ya umaskini wao,"kilisema

Chanzo
chetu hiko kimeweka wazi kuwa,baadaye binti huyo aliachiwa kwa dhamana
huku simuzake zote zikiendelea kushikiliwa kituoni hapo amabazo ndeani
yake kuna maawasiliano yake na mastaa wanao mtumia kutukana watu
mitandaoni,jambo linaloashiria kuwa baada ya siku chache kuna uwezekano
wa mastaa hao kutiwa mbaroni hivi karibuni