The site for daily Tanzania Hard News and Entertainment
Home/Entertainment/HILI NDO SHAVU JIPYA ALILOPATA MSANII ALIKIBA HUKO MAREKANI
HILI NDO SHAVU JIPYA ALILOPATA MSANII ALIKIBA HUKO MAREKANI
Uongozi
wa muziki nchini marekani unao muongoza msanii wa R&B Chris Brown
umetoa taarifa kwa uongozi wa muziki Tanzania unao muongoza msanii
kutoka Tanzania ALI KIBA msanii ambae yupo chini ya uongozi wa Kampuni
za SAMSUNG.
Kwa
taarifa zilizopo katika mtandao wa VIP Beats nchini marekani zinaeleza
kua tarehe 24 mwezi wa 11 mwaka 2014 uongozi wa msanii Chris Brown
ulipokea maombi ya muungano wa wasanii wawili kufanya wimbo wa pamoja
kati ya msanii Ali kiba na Chris Brown maombi hayo yaliambatanishwa na
Softcopy zilizobeba nyimbo tatu za msanii Ali kiba ikiwemo SINGLE BOY,
MWANA
pamoja na wimbo aliofanya katika project ya ONE 8. Uongozi wa Chris
Brown umethibitisha kupokea taarifa za maombi hayo na umeonesha kupenda
sauti ya msanii Ali kiba na kutoa tamko kua wapo tayari kusimamia kazi
ya pamoja itakayofanywa na wasanii hawa.
Upande
wa msanii Chris Brown amesema hana tatizo yupo tayari kushirikiana na
msanii Ali kiba kwani alipata nafasi ya kutazama project ya One 8 na
ameona kiwango cha msanii Ali kiba kinaridhisha
Japokua
anahitaji marekebisho madogo sana. BBC SWAHILI Tunampongeza msanii Ali
kiba kwa juhudi zake tunamtakia kila lakheri katika kazi hii, kuipata
habari hii kamili tembelea mtandao wa VIP Beats, Channel 0 au unaweza
kuipata katika American Spring news