SIMBA NA MTIBWA ZAINGIA ROBO FAINALI
Simba SC, Mtibwa Sugar na JKU wameungana na Yanga na KCCA kutinga hatua
ya robo fainali ya kombe la Mapinduzi inayo endelea visiwani Zanzibar,
ambapo kesho ndio michezo ya kwanza ya robo fainali inatarajwi
kuchezwa.Simba SC imefanikiwa kumaliza kileleni mwa kundi C baada ya
jana kupata ushindi wake wa piliv katika michuano hiyo, wakati Mtibwa
sugar ikimaliza nafasi ya pili katika kundi C.