MH. PINDA AMJULIA HALI MBUNGE VITA KAWAWA
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita
Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa
matibabu. Kushoto ni mke wa mbunge huyo, Siwa Kawawa.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akimpa pole Mbunge wa Namtumbo, MheshimiwaVita
Kawawa ambaye amelazwa katika hospitali ya AMI jijini Dar es salaam kwa
matibabu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

.jpg)