MAHABA NIEUE...!!! ZARI ALALA KWA MAMA DIAMOND PLATNUMZ

Mrembo wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’.
Chanzo
makini kilicho karibu na familia ya Diamond kimepenyeza ‘ubuyu’ kuwa,
Zari alipata fursa ya kupiga ‘mbonji’ nyumbani hapo alipomtembelea
Diamond.
“Alikuja
akambonji kwa mama Diamond kama siku mbili hivi halafu wakaondoka wote
wakati Diamond alipokwenda Nigeria kwenye shoo ya Mwanasoka Bora wa
Afrika 2014.