LULU AMPA ZAWADI YA NYUMBA MAMA YAKE NI BONGE LA NYUMBA LA KIFAHARII JIONEE HAPA
Mrembo
na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michael, ‘Lulu’siku ya jana
alimfanyia sherehe mama yake mzazi kwa kufikisha miaka 45 ya kuzaliwa
ilyofanyika kwenye hoteli ya Great Wall, Masaki ambapo
mastaa
kadhaa wa hapa bongo walihudhuria sherehe hiyo ambapo inadaiwa kuwa
mbali kuandaa sherehe hizo mwanadada Lulu alimzawadia jumba mama yake
ambayo inasemekana ipo Kimara hapa jijini Dar.
Hii ni kwa mijibu wa mwigizaji Flora Mvungi “H mama”ambae ni moja kati ya mastaa kadhaa waliohudhuria sherehe hiyo.
Akielezea usiku huo na kumpongeza Lulu, Flora alifunguka
“Swirie
really u killed it tonight..the outfit was marvelous.. I loved it.. It
made you look more elegant.. Nice..and above all zawadi uliyompatia mumy
was great..Hongera kwa kumpenda mumy wetu that much..lulu amemzawadia
mam yake nyumba ambayo iko kimara..it's a very big house na Ni Nzuriiiii sana..it's a wonderful thing lulu..love your mother very much coz you can never get another.. Nawapendaaaa” -Flora alimaliza.
Pia kwa upande mwigine mwanadada Lulu aliwashukuru wote walio mtakia heri mama yake na kuhudhuria sherehe hizo.
“Napenda
kuwashukuru Wote walio mtakia heri ya kuzaliwa mama angu,nawashukuru
wote mlioweza ku dedicate muda wenu mkakubali mualiko Na mkafika ktk
sherehe maalum iliyoandaliwa kwaajil
ajua
nina Ndugu,jamaa,marafiki ma mashabiki wengi japo ni wachache tu
walioweza kuwepo jana Lkn bdo naamini kwa namna moja au nyingine kila
mmoja wenu alikuwa sehemu Ya sherehe Hata kama
hakuwepo
eneo la tukio Mwisho kabisa Mama Lulu kwa Jina lingine Dada wa
Rwechungura amesema niwashukuru kwa niaba yake”-Lulu alimaliza
Hongera sana Lulu.