HUYU HAPA MWACHUO WA NAIROBI UNIVERSITY ALIYE AMBUKIZA UKIMWI WANAUME 322

Mara
zote tangu nianze kulisikiliza tangazo la "TUKO WANGAPI" na kuliona
kwenye luninga, nimekua nikisisimuka na hasa kuchukua dakika kadhaa
kujiuliza hivi kweli tuko wangapi?.
Jana
katika kumalizia weekend yangu, nilikuwa na washkaji maeneo tukipiga
soga, na bila kujua tukafikia maongezi yaliyokuwa yanawahusu wadada
zetu wanaokaa mabarabarani kwa minajili ya kujiuza, stori ziliendelea
na mwisho wake kila mmoja alibaki kimya huku akionyesha kuwaza maisha
haya tuliyonayo kwa sasa.
tukiachana na hayo ambayo tunauwezo wa kuyaepuka kwa kuwa muaminifu, hii habari ndio imenifanya kuandika hiki niachokiandika
zimepita takribani wiki nne tangu mwanafunzi wa chuo kikuu cha Nairobi alipojitangaza
kuwa ni HIV positive na aliapa kuwa lazima ausambaze kwa watu
kwasababu aliupata ama aliambukizwa wakati alipofanya tendo la ndoa kwa
mara ya kwanza
"nimeshalala
na wanaume 322 katika campus yangu na wawili kutoka nje.Nilitaka
kuwaambukiza watu 2,500 lakini dhamira yangu inanisuta na inaniumiza
moyoni".alisema mschana huyo
cha
kusikitisha zaidi report hii imekuja miezi miwili tu baada ya msichana
mwingine mwanafunzi wa chuo kikuu cha Moi kutoa list ya ya wanaume 90
na kuzibandika kweye notice board akidai amewaambukiza wote virusi na
katika list hiyo kulikua na majina mawili ya wanasiasa maarufu nchini
Kenya.
msicha
huyo amekua na uchungu hata kufikia uamuzi huo wa kuwaambukiza wanaume
322 kwasababu aliambukizwa ugonjwa huo katika siku yake ya kwanza ya
kungonoka.