HIII INAHUSU MVULANA NA MSICHANA WALIOJINYONGA KWA PAMOJA BAADA YA WAZAZI KUKATAA WASIOANE

Mkasa huu umetokea huko Congo.
Wapenzi
hawa wawili waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa kujininginiza
kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo.
Baada
ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana basi waliamua kuchukua
hatua hiyo ya kujinyonga....Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya
watoto
