GARI LA YULE SENETA SHAROBARO WA KENYA HILI HAPA
Seneta
kutoka Kenya Mike Sonko au unaweza kumwita Billionaire anaingia tena
kwenye headline baada ya picha ya gari yake yenye rangi ya gold
kuonekana katika hotel moja ya kifahari ndani ya jiji la Nairobi. Kama
ilivyokwa Mastaa wengine kutumia plate number za majina yao kwenye
magari kama alivyofanya msanii Diamond Platnumz kwa hapa
Tanzania basi kenya amefanya senetor huyo mwenye pesa sana ambapo gari yake ni aina ya V8, japo
hajataja
bei kamili ya pesa aliyonunulia gari lakin nitakuletea mara pale
nipatapo taarifa ubuyu ukimwagika picha ya gari lake iko hapa chini