Baba Kanumba: Mwanangu Angetumika na CHADEMA
Baba
wa nguli wa filamu Bongo, marehemu Steven Charles Kanumba, Charles
Kanumba, amesema kuwa anaamini kama mwanaye angekuwa hai hadi sasa basi
angekuwa mwanasiasa maarufu nchini kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA).
Akizungumza
kwa njia ya simu akiwa kijijini kwao Shinyanga, Charles alisema, japo
imepita miaka kadhaa tangu kutokea kwa kifo cha mwanaye huyo, bado
anawaza ni namna gani angeweza kuleta maendeleo kwa Watanzania.
“Mwanangu alikuwa na ndoto kubwa ya kuwa mwanasiasa tena kwa kupitia tiketi ya CHADEMA. Alikuwa akinieleza mambo men