ETOO AREJEA ITALIA , habari kamili ipo hapa>>
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Cameroon, Samuel Eto'o
amekubali kujiunga na Sampdoria baada ya klabu hiyo ya Italia kufikia
makubaliano na wakala wake.Mkongwe huyo mwenye umri wa miaka 33
anayechezea Everton kwa sasa, amepewa ofa ya Mkataba wa miaka miwili na
nusu na uwezekano wa kuwa kocha atakapostaafu soka.Familia ya Eto'o bado
inaishi mjini Milan na alikuwa anataka kurejea Italia.
Mshambuliaji Samuel Eto'o anajiandaa kuondoka Everton arejee Italia kujiunga na SampdoriaSampdoria inataka asafiri kwenda Genoa kesho tayarikwa vipimo vya afya Jumatatu kisha awekwe kwenye kikosi kitakachomenyana na klabuyake ya zamani, Inter Milankatika Kombe la Italia Jumatano.Everton bado wanatafakari vipengele vya Mkataba wa uhamisho kabla ya hawajamkubalia kuondoka.Kikosi cha Roberto Martinezkitamenyana na West Bromwich Albion Uwanja wa Goodison Park Jumatatukatika Ligi Kuu ya England.