UFUKWE WA COCO BEACH WATIKISIKA SIKU YA JANA TAZAMA HAPA YALIYOTOKEA HUKO
UFUKWE WA COCO BEACH DAR WAFURIKA WATU BURUDANI ZA X-MAS
Umati wa watu ulifurika katika viwanja hivyo vya Coco Beach.
Mmoja wa wasanii wa muziki akitoa burudani katika tamasha hilo.
Watoto wakiogelea baharini .
Farasi huyu alikuwa moja ya vivutio ufukweni hapo.
MAMIA ya
wakazi wa jijini Dar es Salaam jana walifurika katika ufukwe
wa Coco Beach ili kupata burudani mbalimbali, hususani
muziki, kusherehekea Sikukuu ya Krismasi ambapo Kampuni ya
Vodacom ilifanya tamasha kubwa sehemu hiyo iliyovutia watu wa
kila aina.