Hapa ni eneo la Tabata Relini jijini Dar,ambapo hilo daladala liliamua kuchepuka baada ya kuona msongamano katika njia husika.hivi inaruhusiwa kweli kufanya hivi?? alianzia huku mchepuko wake