SASA WEMA SEPETU NDO KIGODORO CHA KUKIMBILIA





Dada wa hiari na Mapenzi wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu ambaye hakutaka kuliweka wazi jina lake amevunja ukimya kutokana na kile alichokiona kuwa ni mateso ya kujitakia anayoyapata Wema Sepetu kutokana na kusumbukia Pnezi la mwanamuziki mkubwa wa Bongo fleva Nasibu Adbul maarufu kwa jina la Diamond Platinumz. Kupitia wakala wake wa amani dada huyo alifunguka kama ifuatavyo; Najua wewe ni mrembo sana, una exposure kubwa na una pesa, sawa wanasema mwanamke bila mwanaume haiwezekani ila kwa mimi naona inawezekana. Jana nimekuona sehemu fulani Kinondoni Umelewa sana sana.. Hivi unadhani pombe ndio suluhisho la matatizo yako? Tena unakunywa mipombe mikali halafu mwanamke, Hicho kizazi kitapona kweli kwa staili hiyo?Nakupa siri mdogo wangu wewe una nafasi ya kuwa na mwanaume yeyete duniani, na sio uchafu wa manzese huu unaokupata paka kila kikwapa cha mwanamke. Kama ungeweza hebu ondoka Tanzania japo kwa miezi sita nenda kakae nje kama ulivyofanya kipindi kile ulivyoachana na yule mla unga ukirudi utakuwa mpya umeweza kukaa mbali na huyi dom* na utaona umeweza kuishi bila yeye. Hebu jaribu kukaa bila mwanaume uone kama haiwezekaniki, jaribu kubadili aina ya wanume unao date nao. Date watu wa nje ya nchi uone kama yataendelea haya haya au utaendelea kuvaa sare za harusi za wenzio huklu pete uliyovalishwa mwaka 47 ikitopata kutu kidoleni mwako. Imefika stage watu wanakuona wewe Kigodoro cha kukimbilia pale magodoro yao yanapoingua kunguni. Wafungie vioo hao fanya yako. Anzisha kitu cha kuku keep-busy acha Pombe ikiwezekana hata zile company za pombe zikimbie. Wewe ni mdogo sana sana kunywa mipombe ati stress za mapenzi utajipatia maradhi ya figo ungali mdogo. Labda kama mwenzetu wataka kufa kesho tuambie tukuwekee order ya mi-dompo mia kila siku nasisitiza sana jaribu kubadili aina ya wanaume unaotoka nao. Acha wanaume za watu nenda nje jipatie mkaka au mzungu kama dadaako alivyofanya katulia. Date mtu wa mbali na kwenu wa hapa hakuna wa kukuoa watalutumia kujipatia majina hawakupendi Wema. Ona wenzio mamisi wameshatengeneza familia zao wewe bado huelewi na umri unasonga mbele. Kibaya zaidi mdogo wangu una mwili mbaya wa kuzeeka haraka na hivyo mipombe ndio kabisa. Najua inaumiza hii ila ukinisikia utasema asante
Theme images by hanoded. Powered by Blogger.