MREMBO WA EMMANUEL OKWI HUYU HAPA SASA NDOA YAO YA KAMILIKA
Baada ya Mrisho Ngassa kuchukua headline kuoa mke wa pili sasa time
hii ni mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi Dec 21 ametambulishwa rasmi
na mchumba wake aitwae Florence Nakalegga.
Utambulisho huo umefanyika Buloba, Kampala na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio zima la utambulisho.
Utambulisho huo umefanyika Buloba, Kampala na hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio zima la utambulisho.
Pichani Florence Nakalegga ambaye mke mtarajiwa wa mshambuliaji wa Simba Emmanuel Okwi akiwa na furaha.