RAISI WA WAWASAFI AKUTANA NA RAISI WA TANZANIA IKULU
Nafasi ya muziki wa Diamond Platnumz imekua kubwa hasa kutokana na baadhi ya Collabo ambazo tumezisikia kuwa kwa sasa wasanii wa nje ndiyo wanaomuomba yeye afanye nao ni good news kutoka kwetu.
Diamond ni miongoni mwa wasanii ambao wamepata mualiko huo yeye pamoja na Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris ambae nae alialikwa kwenda kuzungumza na Rais Jakaya Kikwete.
Kwenye ujumbe ambao aaliutoa kwenye mtandao wa Instagram mshindi huyo Idris ameandika>>’I feel so honored after receiving a call from PRESIDENT’S Office asking me to meet him tomorrow,HELL YES AM COMING SIRE YESSSS,Even now.
Masaa machache baadae alipost ujumbe mwingine ambao ulisomeka>>’If you feel want me to tell the president something tweet me with #idristellmrpresident followed the message.Lets speak for change.