MREMBO AMSINGIZIA UJAUZITO KIJANA MASIKINI ADAI LICHA YA KUTUMIA KINGA ILA AMEPATA MIMBA
Jamani naleta hili tatizo nipeni mawazo yenu,
Mwezi
Novemba mwaka jana nilikutana na binti mmoja. Alitokea kunipenda
ghafla lakini mimi sikuwa na mawazo hata. Nilivyoona ananisumbua na sms
zisizokoma nikaamua nile mzigo ila tulitumia kinga mwanzo mpaka mwisho.
Basi tukaachana hatukukutana tena mpaka leo. Mwezi huu wa tatu
mwanzoni akanipigia na kuniambia ana mimba yangu. Nikashangaa,
nilischofanya ni kumhoji akagoma akasema kwa vyovyote itakuwa yangu.
Nikamwambia
mbona hukuniambia tangu Novemba mpaka leo ni miezi mitano, akasema
alikuwa anatafuta nafasi aniambie akawa anakosa chance. Nikajua
ananizuga au anataka kunibambika. Nikamwambia ok, kama ni hivyo ilee
hiyo mimba utakapojifungua niko tayari tukapime DNA uwe tayari kupokea
majibu, kama siyo yangu ujue ntakachokufanyia nitajua mwenyewe.
Akasema
sawa. Wiki hii amenipigia simu kuwa mimba imeharibika anataka nimpe
hela kwa sababu anaumwa na anataka akasafishe. Pia anataka hela ya
matumizi mara ananiambia mambo ya huko kwao. Agenda sasa imebadilika
kutaka hela.
Sasa kinachonishangaza ananiambia mambo short cut, hakun
