MATUKIO YA KITAAA NI SHIDAAH TU JIONEEE HAPA
Mdau akivizia kupiga maji huku akinena "kula lazima kuoga hiyari , aogi mtu hapaa
mdau akijipigia sop sop buti nyumbani kwake tayari kwa kuingia mzigoni.
taswira mwanana kutoka kitaani kwa kina nanii.
hapa ndo utakapo wajua wenye uzaifu fulani hivi.
mdau aki lekebisha bendela juu ya bati huku akiwa juu ya tololi.