MAISHA YA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO YAWA MASHAKANI TAZAMA MILIPUKO YA MABOMU HAPA NI HATARIII SANA
JESHI
la Polisi jijini Dar limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya
wafanyabiashara ndogondogo maarufu kwa jina la Machinga waliokuwa
wanaandamana kuelekea ofisi za jiji eneo la Kamata, Kariakoo jijini Dar
es Salaam leo.
Machinga
hao waliamua kuchoma matairi na kuweka mawe barabarani wakati wa
maandamano hayo ambapo madai yao ni kuhusu unyanyasaji wanaofanyiwa na
askari wa jiji ikiwemo kunyang'anywa mali zao