MABOMU YAPIGWA KARIAKOO LEO MCHANA WATU WAPOTEZA FAHAMU TAZAMA HALI ILIYO JILI HUKO
Msamaria
mwema akimbeba Mamalishe alifahamika kawa jina la Khadija Rashidi
aliezirai baada ya milipuko ya mabomu katika ghasia za wamachinga na
Askari Polisi leo mchana katika eneo la kariakoo. Mama lishe huyo
alikuwa katika shughuli zake za kutayarisha chakula ghafla wamachinga
waliokuwa wanakimbia kutaka kujificha katika sehemu za wafanyabiashara
hao.
baadhi
ya wasamaria wakimsaidia Mama lishe aliefahamika kwa jina Mwanahamisi
ambaye alizimia baada ya mabomu kurindima katika vurugu kati ya
wamachinga na Askari Polisi cha FFU leo mchana.
Mashuhuda.
Askari
Polisi wakiwapakia kwenye gari baadhi ya Wamachinga waliosababisha
tafrani katika eneo la Kariakoo,Jijini Dar es salaam mchana wa leo



