HIVYO NDIVYO JIJI LA DAR ES SALAAM LILIVYO KWA SASA MATESO NA SHIDA VYA TAWALA JAMANII MUNGU HUYU
Baada
ya mvua ya kubwa ya kama masaa mawili mfululizo,maeneo mengi jijini Dar
yamejaa maji na kupelekea adha kubwa kwa wakazi wa jiji hili.Pichani ni
eneo la Morogoro Road.

Barabara ya Bibi Titi Mohamed mambo yalikuwa namna hii,wenye magari madogo walipita kwa staili ya maji ya shingo.

Matolori ya kuuzia ice creame yakionekana kununiwa leo,huku wapita njia wakiendelea kupiga mbizi kwenye maji hayo.

Hapa ndio inakuwaga kimbebe,maana daladala ndio lishabuma tena.

Hakuna namna nyingine ya kuyakwepa maji haya.hapa ni Posta mpya leo.